Madhabahu

Je Madhabahu ni nini?

Madhabahu  ni daraja ya kuunganisha mwanadamu na ulimwengu wa kiroho.

AINA ZA MADHABAHUKATIKA JAMII ZA KIAFRIKA (WATAITA).

  1. (RELATIONSHIP)
  2. (SECURITY)
  3. (PROSPERITY AND RICHES)

SESO (RELATIONSHIP ALTAR)

 

Seso ni madhabahu ya kitaita yanayohusiana na mahusiano kati ya jamii mbili tofauti,nchi,ukoo au familia. Inaweza kuwa pia kati ya watu wawili walio katika mahusiano ya mapenzi ama urafiki tu.

MBENGE (SECURITY ALTAR)

Mbenge (security altar) ni madhabahu ya kitaita ya kinga katika kabila,ukoo,kijijiau boma.

 

MMANGA (PROSPERITY AND RICHES)

Mmanga (Prosperity and Riches) ni madhabahu ya kitaita yanayohusiana na utajiri.

Ndugu zangu, hii ni safari tumeanza ya kufundishana kuhusu madhabahu ya Kiafrika na tutayachambua kwa undani zaidi; vile yanavyoathiri maisha ya watu wale wameokoka na wale ambao hawajaokoka.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

× How can I help you?