Madhabahu

Je Madhabahu ni nini? Madhabahu¬† ni daraja ya kuunganisha mwanadamu na ulimwengu wa kiroho. AINA ZA MADHABAHUKATIKA JAMII ZA KIAFRIKA (WATAITA). (RELATIONSHIP) (SECURITY) (PROSPERITY AND RICHES) SESO (RELATIONSHIP ALTAR)   Seso ni madhabahu ya kitaita yanayohusiana na mahusiano kati ya jamii mbili tofauti,nchi,ukoo au familia. Inaweza kuwa pia kati ya watu wawili walio katika mahusiano …

Madhabahu Read More »